Description
Spiriluna. Imetengenezwa kwa mimea ya Spirulina Plantesis na Radix Panacis Quinquefoli
Faida na kazi za Spiriluna
- kupambana na seli za kansa
- kuzuia athari za mionzi a kemikali kwa wagonjwa wa kansa
- na kupambana na mzio ama alegi
Spiriluna inawafaa zaidi
- Watu walio kenye diet mfano wanaopunguza uzito
- Wanariadha au watu wanaojenga misuli
- Watu wanaokosa mlo kamili
- Watu wenye tindikali kwa wingi kwenye damu na sehemu nyingine za mwili (acidosis)
- Watu wenye matatizo ya kushuka kwa kinga mara kwa mara
- Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira ya mionzi mfano wanaotumia simu za mkononi kupita kiasi
- Watu walio kwenye tiba za chemotherapy au radiotherapy na wagonjwa wa kansa.
Reviews
There are no reviews yet.