Description
Green world Compound marrow.
kazi na faida za compound marrow
- Kuongeza calcium na magnesium kuondoa dalili za osteoporosis kama maumivu mifupa na joints na sehemu ya chini ya mgongo;
- Kuimarisha utengenezaji wa damu;
- Kuimarisha kinga za mwili na kuondoa uchovu;
- Kuboresha usingizi na kumbukumbu, kuzuia kuzeeka kwa haraka
Yafaa Kutumika Kwa
- Watu wenye upungufu wa Calcium na wenye tatizo la osteoporosis
- Watu wenye matatizo ya mifupa au maungio ya mifupa kama arthritis
- Watu wenye utapiamlo
- Watu wenye upungufu wa kinga za mwili
- Watu wenye upungufu wa damu
Reviews
There are no reviews yet.