Sale!

Kuding tea

Sh50,000.00

Kuding tea itakusaidia:Kuzuia mafua, kuzuia kuvimba kwa tishu za ndani ya pua kunakosababishwa na aleji au athari ya virusi, kuwashwa kwa macho, macho mekundu na maumivu ya macho yanayotokana na joto, Kutoa sumu na kusaidia usafirishaji mzuri wa chakula tumboni. kuimarisha kumbukumbu na kuimarisha utendaji wa ubongo. Kusaidia mzunguko wa damu na kupunguza cholesterol na sukari katika damu.

Description

Green World Kuding Tea

Kuding tea

Kuding teaViungo:Folium Ilicis Kudingchae, Radix Panacis Quinquefilii, Ganoderma na Folium Camelia

Kazi Na Faida Za Kuding Tea

  • Kuzuia mafua
  • Inazuia kuvimba kwa tishu za ndani ya pua kunakosababishwa na aleji au athari ya virusi, kuwashwa kwa macho, macho mekundu na maumivu ya macho yanayotokana na joto
  • Kutoa sumu na kusaidia usafirishaji mzuri wa chakula tumboni
  • Inaimarisha kumbukumbu na kuimarisha utendaji wa ubongo.
  • Inasaidia mzunguko wa damu, hupunguza cholesterol, sukari katika damu na pressure
  • Inazuia kuzorota kwa ufanyaji kazi wa moyo na ubongo.

Kuding Tea Yafaa Kutumika Kwa

  • Makundi yote isipokuwa wanawake wenye ujauzito

Maelezo Mengine Muhimu Kuhusu Kuding Tea

Uwezo wa kuding tea kwenye kuzuia mafua: Green World Kuding Tea inachukua kuding kutoka kwenye mashamba yaliyopo sehemu ya kusini ya nchi ya China ambako hakuna uchafuzi wa mazingira. Kiungo kikuu cha kuding tea ni Folium ilicis Latifoliae na inachanganywa na mimea mingine ya thamani kama American ginseng, ganoderma, n.k. ili kuongeza uwezo wake wakati huo huo ladha yake ikiboreshwa. Mmea huu ni nadra sana kuliwa na wadudu kwa sababu ya uchungu wake, hauna haja ya dawa za kuulia wadudu, kwa hiyo hauna mabaki ya dawa hizo na ni salama. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa kuding tea inaweza kusaidia mzunguko wa damu, kutunza urembo na mwonekano wa ujana, kuondoa sumu, kupunguza uvimbe, ina matokeo mazuri kwenye kuondoa kukauka kwa koo, stomatitis, gingivitis na kuziba choo. Wakati huo huo, ina matokeo mazuri katika kuzuia hypertension, kupunguza lipid, na kuondoa mafuta kwenye ini.

Thamani Ya Lishe Ya Kuding Tea: Green World Kuding Tea ina uwingi wa kuding saponin, American ginseng saponin ambazo zimepewa majina ya kudinosides na kudinlactones; pia ina Ganoderma lucidum polysaccharide, polyphenols, flavonoids, quercetin, selenium, vitamini C,D,E na madini. Kiwango cha flavonoids ndani ya kuding tea ni zaidi ya mara 10 ya kile kilichimo ndani ya majani ya chai ya aina nyingine.

Kuding tea na Afya ya Ubongo: Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kuding tea inasaidia mzunguko wa damu mwilini, inapunguza pressure, inapunguza lmafuta mabaya  kwenye damu, ikiwa ni pamoja na cholesterol. Ina sifa ya kuzuia kudhoofika kwa utendaji kazi wa moyo na ubongo na kuuweka mwili katika uzito unaotakiwa. Inapendekezwa kwa matatizo ya ini kuwa na mafuta (fatty liver) na kukosa choo. Kiwango cha kutosha cha faida za mwili kinahusishwa na kuding. Inasadidkika kuwa inaondoa hali ya kutotulia, na kiu hasa mtu anapokuwa anaumwa ugonjwa ambao unampa homa kali au kuharisha. Inaondoa kikohozi na kutibu bronchitis. Mwisho, inasadikika kuwa kuding tea inaongeza kasi ya mmeng’enyo wa chakula na kuboresha utulivu wa mawazo na kumbukumbu.

Additional information

Weight 0.2 g

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kuding tea”

Your email address will not be published.