Home

Karibu katika duka letu la mtandaoni  la virutubisho na tiba asili. lengo letu la kuanzisha tovuti hii ni kukidhi mahitaji ya watanzania katika kupata huduma bora za kiafya hasa virutubisho na dawa za tiba asili. Kutokana na wingi wa dawa zisizo na ubora mtaani na kupelekea wagonjwa kupoteza fedha nyingi pasipo kupona matatizo yao sasa kupitia tovuti yetu utanunua virutubisho na tiba asili vyenye ubora wa hali ya juu huku tukikuhakikishia kupona tatizo lako. Ukurasa huu utakuwa msaada kwako kwani utaweza kuagiza bidhaa ukiwa nyumbani kwako na kuipata haraka zaidi.

Sasa huna haja ya kupoteza muda wako kutafuta mahali gani utapata virutubisho vyenye ubora wa hali ya juu. Timu yetu ipo tayari kukusaidia ili ufanye uchaguzi sahihi wa tiba na virutubisho asili kutibu tatizo lako la kiafya. Tumekuondolea usumbufu wa kufuata tiba asili mkoa mwingine maana utaletewa bidhaa popote ulipo Tanzania. kupitia kampuni ya Green world unaweza kupata virutubisho na dawa tiba zaidi ya aina  100 kwa matatizo mbalimbali ya kiafya kama kisukari, vidonda vya tumbo, pumu, upungufu wa nguvu za kiume, ugumba, matatizo ya hedhi, saratani, uvimbe, na mengine mengi. Tumegusa kila rika na kila eneo la kiafya ikiwemo afya ya watoto, wanawake, afya ya moyo, ubongo, mwanaume, mifupa na joints, uzito mkubwa na kitambi, kinga ya mwili, na antibiotics za asili zisizo na kemikali.

Virutubisho vya Green world tayari vimethibitishwa na shirika la kimataifa la viwango (ISO) na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) hivo utafanya manunuzi yako kwa uhuru na kwa kujiamini kwamba dawa na virutubisho vinafanya kazi, tunakuhakikishia fedha yako haitapotea bure kwani utafurahia huduma zetu na utakuwa shuhuda kwa watu wengine.

kuhusu usalama wa mzigo na fedha zako, ondoa shaka maana unaweza kuletewa bidhaa ndipo ukafanya malipo kwa wale waliopo Dar es salaam, ila kama upo mkoani tutakupigia simu kisha tutakupa utaratibu salama wa kulipia fedha yako na kisha tutashughulika kusafirisha mzigo wako na endapo mzigo utapotea basi tutawajibika kukutumia dawa zingine ama kurudisha fedha yako kama utahitaji hivo. Kama una swali kuhusu bidhaa zetu ,maoni au unataka ushauri wa kiafya naweza kuwasiliana nasi kwa namba yetu 0762336530 au ukatuma ujumbe kupitia Email: info@lindaafya.com.

Tembelea pia ukurasa wetu wa elimu ya magonjwa ya lindaafya.com ili uendelee kujifunza zaidi na kujitambua kuhusu afya yako. Fahari yetu ni kuona unapona matatizo yako ya kiafya na kisha unawashirikisha na wengine.

Shop by Category

New In

On Sale

Best Sellers