Description
Kazi na na faida za soy power kwa afya ya mwanamke.
- Kuimarisha ufanyaji wa ovari
- Kuzuia osteoporosis (kumomonyoka kwa mifupa), hasa wakati na baada ya kukoma hedhi
- Kuzuia saratani ya matiti
- Kuzuia arteriosclerosis na magonjwa ya mishipa ya damu
- Kuboresha ufanyaji kazi wa ubongo, kuboresha kumbukumbu na kuzuia dementia
- Kuchelewesha kuzeeka, kuboresha ngozi na kuifanya laini, inayonyumbuka.Yafaa zaidi kutumiwa na
- Wanawake wenye msongo wa mawazo kabla ya kukoma hedhi
- Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
- Wanawake wenye homonal imbalance(kuvurugika kwa homoni)
- Wanawake wenye mifupa myepesi au wenye osteoporosis
- Wanawake wagumba
- Wanawake wanaokosa usingizi au wsiwasi
- Wanawake wanaokosa hamu na kupata maumivu wakati wa tendo na ndoa.
Reviews
There are no reviews yet.