Sale!

ZINC

(1 customer review)

Sh65,000.00

Zinc inaimarisha  mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume na kutibu  tatizo la ugumba. kwa wanawake husaidia kubalansi homoni na ukuaji wa mayai, kwa mwanaume huongeza uzalishaji wa mbegu na kurudisha hamu ya tendo la ndoa.

Description

Zinc

 

Kazi Na faida Za za kirutubisho cha zinc mwilini

  1. Inaimarisha  mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume na kutibu  tatizo la ugumba. kwa wanawake husaidia kubalansi homoni na ukuaji wa mayai, kwa mwanaume huongeza uzalishaji wa mbegu na kurudisha hamu ya tendo la ndoa.
  2. madini ya zinc husaidia kwenye utengenezaji wa protini na utendaji kazi bora wa chembechembe nyekundu na nyeupe za damu
  3. Inaboresha kinga za mwili na kuharakisha uponyaji wa vidonda.

Yafaa Kutumiwa Na:

  • Watu wanaopata kiwango kidogo cha zinc kwenye milo yao. Nyama isiyo na mafuta, chakula cha bahari, na hasa chaza (oyster) vina kiwango kikubwa cha zinc. Zinc kutoka kwenye mimea ina phytates ambazo haziwezi kutumika na mwili
  • Watu wenye matatizo ya mifumo ya mmeng’enyo ya chakula na kuwa, vidonda vya tumbo  na tindikali ndogo tumboni
  • Watu wanaotumia dawa kwa muda mrefu
  • Watu wanaovuta sigara au kunywa pombe kwa wingi.
  • Watu wasiokula nyama
  • Wanawake wanaokosa hamu ya tendo la ndoa, wagumba na  wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango au walio kwenye tiba za homoni
  • Wanariadha au watu wanaotumia sana nguvu za mwili
  • Watoto
  • wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume

    Maelezo Muhimu:

    Zinc ni elementi muhimu mno katika afya ya binadamu hivi kwamba ukosefu kidogo unaweza kuleta madhara makubwa. Zinc ni ya muhimu sana kwa sababu inapatikana ndani ya kila kiungo cha mwili cha binadmu na inahusika kwa karibu sana na kugawanyika kwa seli za mwili. Ni antioxidant yenye nguvu sana, inayosaidia kuzuia kansa, na pia inahusika moja kwa moja katika ufanyaji kazi wa tezi mbalimbali za kutengeneza homoni na kuweka sawa viwango vya homoni katika mwili. Makadiridio yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa asilimia 25 ya watu duniani wanakabiliwa na upungufu wa zinc na kwa sababu mwili wa binadamu hauhifadhi zinc, tunalazimika kupata zinc kila siku.

    Upungufu Wa Zinc:
    Upungufu wa zinc husababisha ugumba kwa jinsia zote, wanaume na wanawake na kuwasababishia tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Kiwango kidogo cha zinc katika mwili hukuza madhara ya msongo wa mawazo katika mwili na kuchochea uzeekaji wa haraka. Isije ikafikiriwa kuwa upungufu wa zinc upo zaidi kwa watu wenye lishe duni au wale katika nchi zinaendelea tu. Ukweli ni kuwa tatizo hili lipo Marekani na Ulaya kwa wanaume, wanawake na watoto.
    Upungufu wa zinc hubadili namna ya kusikia ladha na kusababisha kupenda chumvi zaidi, chakula kitamu zaidi. Inaweza kujidhihirisha kwa kuharisha, upungufu wa nguvu za mwili, uchovu sugu, ugumba, upungufu wa kinga za mwili, kukosa kumbukumbu, kushindwa kutuliza mawazo, kuchelewa kupona vidonda, neva kutofanya kazi vizuri, na kuunguruma kwa sauti kwenye masikio.

    Afya Ya Uzazi Ya Mwanamme:
    Zinc ni madini ya lazima katika kuweka testosterone kwenye kiwango kinachotakiwa, na seli za tezi dume ya mwanamme zinahitaji kiwango cha zinc ambacho ni mara 10 zaidi ya mahitaji ya seli nyingine za mwili ili ziwe na afya na zifanye kazi kwa kiwango kinachotakiwa. Upungufu wa zinc kwa wanaume huathiri uzalishaji wa testosterone, huwaweka wanaume kwenye mazingira hatarishi ya kupata saratani ya tezi dume, na huwasababishia ugumba. Upungufu wa zinc umehusishwa na kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

    Afya Ya Uzazi Ya Mwanamke:
    Kwa wanawake, zinc inahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte). Kama mwanamke atakuwa na upungufu wa zinc, yai halitakomaa vizuri na utolewaji wa yai (ovulation) utazuiliwa , na kusababisha ugumba. Kiwango cha zinc cha kutosha kunamwezesha mwanamke kutumia estrogen na progesterone vizuri.

1 review for ZINC

  1. Samwel

    Naweza ipata hiyo zinki pamoja na vig power najihisi kama nguvu zangu haziko Sawa . Mhimu
    0783292028

    • bidhaa za green world

      Dawa utapata, bilashaka tumeshakupa maelekezo kwa njia ya whatsapp. Utalipia tuweze kukutumia dawa.

Add a review

Your email address will not be published.