Description
Viungo: Propolis, Radix Ginseng, Vegetable Oil
Kazi Na Faida Zake
- Propolis inaaminika kuangamiza na kuzuia kukua kwa bakteria wa aina nyingi na maambukizi ya virusi
- Kuinua kiwango cha lishe na kuimarisha afya kwa ujumla
Inafaa Kutumiwa makundi yafuatayo.
- Watu wenye maambukizi sugu (bakteria, fungus na virusi)
- Watu wenye upungufu wa kinga za mwili mfano wanaoumwa ukimwi na TB
- Watu wenye matatizo ya kukauka kwa koo, matatizo ya conjunctiva za macho (conjunctivitis), sinus congestion, mafua, influenza, bronchitis, matatizo ya masikio, matatizo ya fizi na eneo linalozunguka meno, pneumonia, maambukizi kwenye nyongo, vidonda vya tumbo, maambukizi ya njia ya mkojo, matatizo ya utumbo na magonjwa ya ngozi.
Maelezo zaidi kuhusu Propolis.
Historia Ya Propolis
Propolis ina historia ya kutumika kama dawa kwa miaka mingi, kuanzia miaka ya 350 BC, wakati wa uhai wa Aristotle. Wagiriki waliitumia propolis kwa ajili ya majipu; watu wa Assyria( ambayo ni Syria kwa sasa) waliitumia kwa ajili ya kuponya vidonda na uvimbe; watu wa Misri waliitumia propolis kwa ajili ya kutunza maiti isioze (mummification). Bidhaa hii ya asili ya nyuki inasifika kama dawa ya kuponya magonjwa yote “elixir” na “antibiotic asilia”. Miaka 1900 iliyopita kitabu kilichoandikwa na warumi “History of the Nature”, kilitaja kwa undani vyanzo na faida za propolis.
Thamani Ya Propolis Katika Virutubisho
Kuna aina zaidi ya 30 ya michanganyiko ya flavones, aina mbalimbli za terpenes, tindikali za amino 20, vitamini mbalimbali, vimeng’enya hai, elementi adimu kama chuma, chrome, zinc, selenium, magnesium, calcium, phosphorus, n.k. Propolis pia ina aromatic acids 10, aromatic esters 30, zaidi ya aina 30 ya mafuta. Polysaccharides zilizomo ndani ya propolis ni muhimu kwa mwili.
Reviews
There are no reviews yet.