Description
Viungo: Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng
Kazi na Faida za Codiceps.
- Kuongeza kinga dhidi ya mashambulizi ya vimelea viletavyo maradhi;
- kupambana na seli za kansa;
- Kuboresha ufanyaji kazi wa ini, mapafu na figo;
- Kuongeza nguvu kwa wenye matatizo ya uchovu wa muda mrefu.
Inafaa Kutumiwa zaidi kutumiwa na:
- Watu wenye udhaifu wa kinga; mfano wenye magonjwa kama , mafuta kwenye ini, TB, Ukimwi na wanaotumia tiba za Chemotherapy na Radiotherapy.
- Watu wenye udhaifu katika ufanyaji kazi wa maini, mapafu, au figo;
- Wanariadha wanaohitaji nyongeza ya nguvu katika mwili.
Reviews
There are no reviews yet.