Sale!

Lecithin Capsules

Sh85,000.00

Lecithin hulinda ini na kusaidia ufanyaji kazi wa ini, Kuimarisha mfumo wa neva na, kuboresha ubongo, Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha mafuta mabaya (LDL) kuwa mafuta mazuri (HDL)

Description

Lecithin softgels

 

 

Kazi na Faida za lecithin

  1. Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi wa ini.
  2. Kiungo muhimu cha ngozi izungukayo seli (cell membrane);
  3. Kuimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo;
  4. Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha mafuta mabaya (LDL) kuwa mafuta mazuri (HDL);

Yafaa zaidi kutumika kwa:

  • Watu wanaohitaji kuboresha kumbukumbu na umakini wa ubongo
  • Watu wenye uwingi wa lipids katika damu, matatizo ya ini, moyo na ubongo
  • Watu walio katika hali mbaya au wenye matatizo ya muda mrefu ya mafuta kwenye ini, homa ya ini (hepatitis) na liver cirrhosis.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Lecithin Capsules”

Your email address will not be published.