Description
A Power: Imetengenezwa kwa mimea ya Fructus Hippophae, Herba Anoectochilus, Ganoderma,na Radix Ginseng,
SIFA NA KAZI YA KIRUTUBISHO CHA A POWER
- kuzuia na kutibu aina mbalimbali za kansa endapo matumizi yake yataambatana na tiba za hospitali kama chemotherapy na radiotherapy.
inafaa zaidi kutumika kwa watu hawa- Watu wenye aina mbalimbali za kansa/saratani
- Watu wenye matatizo ya kinga za miili yao kama kushuka kwa kinga na autoimmune diseases.
- Watu wenye upungufu wa kinga za mwili, kama wale wenye VIRUSI au UKIMWI
- wanaopata maambukizi ya magonjwa mara kwa mara
Maelezo kuhusu ugonjwa wa Ukimwi na jinsi A power itakavokusaidia
HIV ni kirusi anayeua au kuharibu seli za kinga za mwili. UKIMWI ni hali ya kukosa kinga za mwili za kutosha iliyotokana na sababu za maambukizi. UKIMWI ni hali ya juu kabisa ya kuwa na maambukizi ya HIV. HIV mara nyingi huenezwa na ngono zembe na mtu aliyeathirika. HIV inaweza pia kuambukiza kwa kuchangia vifaa vya kutobolea mwili na sindano au kwa kugusa damu ya mtu aliyeathirika. Wanawake wanaweza kuwaambukiza watoto wao wakati wa ujauzito au wakati wa kuzaa.
Dalili za mwanzo za kuambukizwa na UKIMWI ni kuvimba kwa tezi na kuwa na mafua. Hivi vinaweza kutokea na kutoweka mwezi mmoja au miwili baada ya kupata maambukizi. Dalili mbaya zinaweza zisitokee hadi baada ya miezi kadhaa au miaka. Kipimo cha damu kinaweza kuonyesha kama mtu ameshaambukizwa virusi vya HIV au la. Hakuna tiba ya UKIMWI, lakini kuna dawa nyingi na hatua mbadala za kuchukua ili kujikinga na maambukizi ya HIV na kansa zinazoambatana na maambukizi hayo. Watu wanaweza kuishi na maambukiza kwa miaka mingi.
Kidonge cha A-Power chenye uwingi wa viungo asilia vya mimea kinaweza kuongeza kinga za mwili kwa kiwango kikubwa, kugundua seli za uvimbe, na kuboresha kwa ujumla afya ya watu wenye HIV/UKIMWI.
Reviews
There are no reviews yet.