Description
Aloe vera![](https://i0.wp.com/lindaafya.com/wp-content/uploads/2018/01/aloe.jpg?resize=165%2C217)
Kazi Na Faida za Aloe Vera capsules
- Kuboresha uchakataji wa chakula tumboni, kuongeza kasi ya kutoa sumu mwilini;
- Kuondoa maumivu na kupunguza joto la mwili;
- Kuondoa dalili za uvimbe
Aloe vera yafaa zaidi Kutumika Kwa:
- watu wenye matatizo katika tumbo, kama kuharisha sugu na vidonda vya tumbo
- Watu waliofunga choo na kupata choo kwa shida (constipation)
- Watu wenye uvimbe sugu na matatizo ya ngozi
Reviews
There are no reviews yet.