Sale!

Detoxin pad

Sh70,000.00

Detoxin pad husaidia Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili,  Kuondoa maumivu ya ngozi, misuli na maungio ya mifupa.
Yafaa zaidi kutumika kwa watu wenye maumivu ya sehemu ya mgongo, wenye mauvimu ya joints (arthritis) na maumivu ya misuli na mtu yeyote anayependa kusafisha mwili na kutoa sumu.

Description

Detoxin pad

Viungo:Bamboo vinegar, Vitamin C, Chitosan na  Tourmaline.

Kazi na Faida za detoxin pad mwilini

  •  Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili kupitia vijitundu vya kwenye ngozi
  •  Kuondoa maumivu ya ngozi, misuli, mifupa na maumivu ya joints

Yafaa zaidi kutumika kwa:

  • Watu wenye afya duni
  • Watu wanaosimama kwa muda mrefu, wanaotembea sana na wanaokuwa kuwa kwenye mionzi ya kompyuta
  • Watu wenye maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo (lumbago), wenye mauvimu ya joints (arthritis) na maumivu ya misuli.
  • mtu yeyote anayependa kusafisha mwili na kutoa sumu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Detoxin pad”

Your email address will not be published.