Sale!

Natural Calcium tablets

Sh85,000.00

Calcium itakusaidia kujenga afya ya mifupa na meno, na kuzuia kumomonyoka kwa mifupa  (osteoporosis), kusaidia kuuweka uzito wa mwili katika kiwango kizuri, kuzuia maumivu kabla ya hedhi (PMS) au matatizo baada ya kukoma hedhi, kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo na kuboresha mawasiliano ya neva

Description

 Calcium tablets.

 

 

Kazi na faida za kirutubisho cha Calcium.

  • Kujenga afya ya mifupa na meno, na kuzuia kumomonyoka kwa mifupa  (osteoporosis).
  • Kusaidiaa kuuweka uzito wa mwili katika kiwango kizuri
  • Kuzuia maumivu kabla ya hedhi (PMS) au matatizo baada ya kukoma hedhi
  • Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo
  • Kuboresha mawasiliano ya neva
  • Kuzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spasms)na maumivu kwenye mapaja, mikono na kwapani, na kutoa jasho usiku.

Additional information

Weight 0.4 g

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Natural Calcium tablets”

Your email address will not be published.