Sale!

Deap sea fish oil

Sh85,000.00

Deap sea fish oil itakusaidia kupunguza kiwango cha mafuta kama cholesterol na triglycerides kwenye damu, kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili na kuleta matatizo kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).

 

Description

   Kazi na faida za deap sea fish oil mwilini.

 • Kupunguza kiwango cha lipids (mafuta kama cholesterol na triglycerides) kwenye damu,
 • Kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili. mpambano huu huletekeza matatizo ya kiafya kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
 •  kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).

  Inasaa zaidi kutumika kwa watu.

 • Watu wenye matatizo ya mishipa ya moyo na mishipa ya ubongo
 • Watu wenye kisukari, Type 2 diabetes ama kisukari cha ukubwani
 • Watu wenye matatizo ya mifupa na joints kama osteoporosis na arthritis.
 • Watu wenye umri mkubwa wanaoshindwa kupata chakula chenye mafuta ya omega-3 ya kutosha.

  Maelezo muhimu kusu mafuta ya omega 3.
  Utafiti umegundua kuwa baadhi ya mafuta (fats) ni mazuri kwa afya ya binadamu na kuwa ni muhimu katika ufanyaji kazi wa mwili. Mafuta haya ni kama Omega-3, Omega-6 na Omega-9. Mafuta haya huitwa unsaturated fats au polyunsaturated fats. Miili ya binadamu haina vimeng’enya (enzymes) vya kutengeneza mafuta ya omega-3 na omega-6, kwa hiyo tunahitaji kuyapata kutokana na chakula tunachokula. Upungufu wa mafuta hayo mwilini husababisha magonjwa. Hii ndiyo sababu mafuta haya huitwa mafuta muhimu ya mwili (essential fat acids). Hizi ni sababu tosha za kukufanya ununue leo mafuta haya ya omega 3 kutoka green world.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Deap sea fish oil”

Your email address will not be published.