Description
Super coenzyme 10 Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo: green world super Coq10 itakusaidia
- Kuongeza stamina na kujenga mwili
- kirutubisho hiki kinawafaa zaidi : watu wenye matatizo ya kifafa, matatizo ya moyo kama myocardial infarction, shinikizo kubwa la damu, cholesterol nyingi na angina pectoris
- wagonjwa wanaotumia tiba ya chemotherapy na radiotherapy
- wagonjwa wanaopata ganzi mara kwa mara na waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo na
- wagonjwa wastroke
Maelezo mengine muhimu kuhusu super coq10
Tafiti za hivi karibuni zimeonyesha kuwa CoQ10 inaweza kuzuia kutokea kwa uvimbe. Imeonyesha kuwa na mafanikio sana hasa katka kutibu magonjwa ya mishipa ya moyo, kuondoa maumivu ya moyo yanayotokana na upungufu wa oksijeni (Angina), na kuongeza kinga za mwili. Kwa mantiki hiyo CoQ10 inachukuliwa kuwa ni bidhaa bora kuliko nyingine ye yote katika kundi la vyakula.
Reviews
There are no reviews yet.