Sale!

Ginkgo biloba

Sh85,000.00

Ginco biloba itakusaidia kupunguza kuzeeka kwa viungo kuongeza uwasilishaji wa oksijeni kwenye ubongo na kuongeza kumbukumbu,kuponya matatizo ya maumivu ya miguu
inafaa zaidi kwa wazee, watu wenye matatizo ya ubongo na moyo, wenye kinga ndogo, wenye kupoteza kumbukumbu na wanaopenda kuzuia uzee wa haraka.

SKU: GW-07 Category: Tags: , ,

Description

Green world Ginco biloba

 

 

 

     Kazi na faida za Ginco biloba kwenye afya ya ubongo

  • Kuua makali ya radikali huru(free radicals) na kuondoa madhara yatokanayo na kuzeeka kwa viungo
  • Kuongeza uwasilishaji wa oksijeni kwenye ubongo na kuongeza kumbukumbu
  • Kuzuia kudhoofika kwa macula kunakotokana na uzee
  • Kuzuia au kuponya matatizo ya maumivu ya miguu (intermittent claudication)

walengwa: wazee, wenye matatizo ya ubongo na moyo, wenye kinga ndogo, wenye kupoteza kumbukumbu na wanaopenda kuzuia uzee wa haraka.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ginkgo biloba”

Your email address will not be published.