Sale!

Multivitamin

Sh70,000.00

Green world multivitamin inafaa zaidi kwa watu wazima na watoto wenye upungufu wa vitamins na watu wanaokosa mlo kamili. Multivitamin imejazwa vitamin A, B1, B2, B6, B12, Vitamin C, D, E, folate na Niacin.

Description

Multivitamin(for children & adults)

Green world multivitamin inafaa zaidi kwa watu wazima na watoto wenye upungufu wa vitamins na watu wanaokosa mlo kamili. Multivitamin imejazwa vitamin A, B1, B2, B6, B12, Vitamin C, D, E, folate na Niacin.

Maelezo zaidi kuhusu umuhimu wa vitamin.

vitamini na madini ni muhimu katika kuimarisha ufanyaji kazi za mwili. Mwili wa binadamu hautengenezi vitamini lakini unahitaji vitamini hizi kutoka kwenye vyanzo kama chakula, mboga na matunda. vitamin ni muhimu zaidi kwenye mwili kiasi kwamba inapopungua kidogo husababisha mabadiliko kwenye seli mfano upungufu wa vitamin A husababisha matatizo kama ukavu wa macho na ngozi na kushindwa kuona vizuri.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Multivitamin”

Your email address will not be published.