Sale!

Joint health

Sh85,000.00

Joint health huondoa maumivu na uvimbe unaosababishwa na arthritis, kuondoa magonjwa ya uchakavu wa joints na mifupa kwa watu wa umri wa kati na wazee. Huwafaa zaidi watu wenye gout, walioumia joints na matatizo ya mifupa

Description

Joint health

 

 

 

 

Kazi na Faida za kirutubisho cha joint health.

  1. Kuondoa maumivu na uvimbe unaosababishwa na arthritis
  2. Kuondoa magonjwa ya uchakavu wa viungio vya mifupa kwa watu wa umri wa kati na wazee

Inafaa Kutumika Kwa makundi ya watu hawa.

  • Watu walioumia joints
  • Watu wenye magonjwa ya uchakavu wa maungio ya mifupa na maumivu ya mifupa  kama rheumatoid arthritis na/au osteoarthritis
  • Watu wenye matatizo ya cervical spondylosis, lumbar spondylosis na gout
  • Wanariadha au watu wanofanya mazoezi ya viungo
  • Watu wenye umri mkubwa.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Joint health”

Your email address will not be published.