Description
- INTESTINE CLEANSING TEA (kimetengenezwa kwa mimea ya spiriluna plantesis, mbegu za cassia na mimea ya green tea.
Sifa na faida za kirutubisho cha intestine cleansing tea
- Kulainisha kuta za utumbo na kusaidia utolewaji wa kinyesi laini
- Kusaidia uzalishaji wa bacteria wazuri (normal flora).
- Kuboresha usukumaji wa chakula ndani ya utumbo na kusafisha sumu tumboni
- kirutubisho hiki chawafa zaidi
- watu wanaotaka kutoa sumu kwenye mwili
- wenye matatizo ya tumbo kama vidonda vya tumbo, na gesi tumboni
- wanaokosa choo kwa mda mrefu ama kupata choo kigumu
- wenye matatizo kama bawasili
Reviews
There are no reviews yet.