Description
GINSENG Rhs
Viungo: Radix Ginseng
Kazi Na Faida za Ginseng
- Ni tiba asili inayotumika sambamba na dawa nyingine za kansa kama chemotherapy na radiotherapy.
- Huongeza idadi ya chembechembe nyeupe za damu; na hivo inafaa sana kwa wagonjwa wanaopata tiba za chemotherapy na radiotherapy+wagonjwa saratani, TB na magonjwa yote ya virusi.
- Huongeza kasi ya kupona kwa vidonda na kumsaidia mgonjwa kupona haraka baada ya kuugua au kuumia.Yafaa Kwa:
- Watu wanaotaka kuongeza kinga za mwili
- Watu wenye uvimbe (benign or malignant tumor)
- Wagonjwa na wanaopata tiba ya chemotherapy na/au radiotherapy.
- Watu walio chini ya uangalizi wa kiafya mfano walioathrika na dawa za kulevya.
- Watu wenye kiwango kidogo cha chembechembe nyeupe za damu kutokana na maambukizi ya HIV/UKIMWI
- watu wenye uchovu wa muda mrefu au wenye nia kuongeza nguvu (boost stamina).
Maelezo Muhimu: Kuhusu Ginseng:
Faida za kutumia ginseng ziligunduliwa kwa mara ya kwanza na wachina wa kale yapata miaka 5000 iliyopita, ikaanza kupata umaarufu kutokana na sifa zake za kuongeza nguvu mwilini na kupunguza kasi ya kuzeeka haraka. Mmea huu uliopatikana kwenye milima ya Manchuria una umbile kama la binadamu. Katika nchi ya China, mmea huu huheshimiwa kama “Mfalme Wa Mimea” na katika lugha ya kigiriki “Panax Ginseng” ina maana ya “Uponyaji Wa Kila Kitu”. Umbile hilo lilichukuliwa na watu hao wa kale kuwa ni “utulivu wa hapa duniani ulioletwa na nguvu za kimungu”.
Mmea wa ginseng
Reviews
There are no reviews yet.