Sale!

Glucoblock

Sh75,000.00

Green World Glucoblock itakusaidia

 • Kuboresha uzalishaji na utolewaji wa insulin na kongosho;
 • Kupunguza kiwango cha sukari kwa kuongeza uwezo wa mwili kuhisi uwepo wa insulini
  Kusimamia uingizaji na uchakataji wa sukari ya mwili.

  Yafaa Kutumika kwa: 

 • Watu wenye sukari nyingi katika miili yao
 • Watu wenye kisukari – Type II diabetes
 • Watu wenye kiwango kikubwa cha lipids
SKU: GW-05 Categories: , Tag:

Description

Green world Glucoblock

glucoblock tiba ya kisukari

Viungo: Majani ya mulberry, astragalus, majani ya ginkgo na Balsam pear

Kazi na Faida za Kirutbisho cha Glucoblock

 1. Kuboresha uzalisjaji na utolewaji wa insulin na kongosho;
 2. Kupunguza kiwango cha sukari kwa kuongeza uwezo wa mwili kuhisi uwepo wa insulini
 3. Kusimamia uingizaji na uchakataji wa sukari ya mwili.

Yafaa kwa:

 •  Watu wenye sukari nyingi katika miili yao
 •  Watu wenye kisukari – Type II diabetes
 • Watu wenye kiwango kikubwa cha lipids

Maelezo Muhimu kuhusu ugonjwa Kisukari

Idadi ya watu wenye kisukari itakuwa mara mbili katika miaka 25 ijayo, kutokana na tahadhali iliyotolewa na WHO na IDF – International Diabetes Federation, kwenye warsha kuhusu mambo ya afya iliyofanyika Dakar, Senegal 1-3 Aprili 2004. Dr. Nigel Unwin kutoka WHO alikadiria kuwa asilimia 80 ya watu wenye kisukari katika bara la Afrika hawafanyiwi uchunguzi. Mwaka 2007 kulikuwa na wagonjwa wa kisukari milioni 7.5 barani Afrika. Kufikia 2030, idadi ya wagonjwa hao inakadiriwa kufikia milioni 18.2. Pamoja na takwimu hizo za kutisha, uelewa wa umuhimu wa kutibu kisukari ni duni sana.

Kisukari Ni Nini?
Kisukari ni ugonjwa ambao husababisha mwili kushindwa kutengeneza au kutumia insulin na kusababisha kiwango cha sukari katika mwili kuwa juu (Hyperglycemia). Kuna aina mbili za kisukari;
1. Type I (kisukari cha utotoni) : Katika aina hii ya kisukari, seli za kuzalisha insulin ndani ya kongosho huwa zimeharibika na mwili hauwezi tena kutengeneza insulin wenyewe. Mgonjwa wa aina hii ya kisukari lazima achomwe sindano za insulin.

2. Type II(kisukari cha ukubwani): Katika aina hii ya kisukari mwili wa mgonjwa unatengeneza insulin kwa kiwango cha kutosha lakini mwili unashindwa kuipokea kitendo hichi huitwa insulin resistence. Kutokana na hali hiyo, glucose haiingii ndani ya mwili na hivyo kujaa ndani ya damu. Mgonjwa mwenye tatizo hili, anatakiwa kutumia dawa za kumsaidia.

Madhara yatokanayo na kisukari:
1. Kisukari kinaongoza kwa kusababisha tatizo la kutokuona (diabetic retinopathy) baina ya watu wa umri wa kufanya kazi
2. Kisukari ni chanzo nambari moja cha matatizo ya figo (diabetic nephropathy)
3.Kisukari kinaongoza kwa kusababisha kukatwa kwa viungo (diabetic neuropathy)
4. Kisukari kinasababisha mwongezeko wa vifo vinavyotokana na matatizo ya moyo na kiharusi kwa mara mbili hadi nne.

Glucoblock Ya Green World inarekebishaje kiwango cha sukari?
A. Kuzifanyia ukarabati seli za beta (B-cells) na kurudisha uwezo wake wa kutengeneza insulin.
B. Inapunguza sukari katika damu, inaondoa dalili za kisukari, kurudisha utendaji kazi wa insulin, kurudishia utoaji wa seli za insulin, kurudisha usikivu/sensitivity wa vipokezi vya insulin(insulin receptors).
C. Inasimamia uingizaji wa wanga, uvunjaji wa wanga na mfumo wa fahamu, inaondoa ukinzani wa mwili unaosababisha kisukari hivyo kurudisha ufanyaji kazi wa seli za insulin.
D. Kupunguza na kuzuia madhara makubwa yanayoletwa na kisukari.
E. Kusimamia kinga za mwili. Kuzuia na kupunguza maambukizi yanayotokana na uwingi wa sukari katika mwili.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Glucoblock”

Your email address will not be published.