Sale!

Prostacare

Sh125,000.00

Prostacare itakusaidia 

  • Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya tezi dume
  • Kuzuia kuzaliana kwa vimelea wabaya ndani ya tezi dume
  • Kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume na
  • kutibu matatizo ya tezi dume

 

SKU: GW-03 Category: Tag:

Description

Green World Prostacare

Green World Prostacare tiba ya tezi dume

Viungo: Extractum of Radix Rehmanniae, Rhizoma Anemarrhenae, Cortex Phellodendri Chinsis, Herba Ecliptae, Fructus Ligustri Lucidi, Harba Plantaginis, Radix Paeoniae Rubra.

Kazi Na Faida Za Prostacare.

  • Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya tezi dume
  • Kuzuia kuzaliana kwa vimelea wabaya ndani ya tezi dume
  • Kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume

 

Yafaa Zaidi Kutumika Kwa:

  • Mwanamme mwenye tatizo lolote la tezi dume ikiwemo saratani ya tezi dume na kukua kwa tezi dume
  • Wanaume wenye umri unaozidi miaka 40

Maelezo Muhimu Kuusu Matatizo ya Tezi Dume:

Tezi dume (Prostate) ni kiungo kidogo ambacho pamoja na kiungo kingine kiitwacho seminal vesicles, vinatoa ugiligili (fluid), kila kimoja, ambao ni sehemu ya shahawa. Tezi dume inapatikana chini tu ya kibofu cha mkojo na inaizunguka urethra, mrija wa kupitisha mkojo ambao unapita ndani ya uume.
Matatizo ya tezi dume mara nyingi yanahusiana na umri kuwa mkubwa: kadri umri wa mwanamme unavyozidi kuwa mkubwa, ndivyo uwezekano wa kupata matatizo na madhara yanayoambatana na tezi dume unavyoongezeka. Baada ya umri wa miaka 50, matatizo ya tezi dume ni moja ya matatizo yanayowasumbua sana wanaume. Asilimia 80 ya matokeo ya uchunguzi yanayobainisha uwepo wa kansa, yanapatikana kwenye umri unaozidi miaka 65, na kwenye umri wa miaka 70, asilimia 90 ya wanaume wote wanaonyesha angalau dalili za kupanuka kwa tezi dume.

Aina Ya Matatizo Ya Tezi Dume :
Matatizo ya tezi dume yanaonekana kuangukia katika makundi matatu: prostatitis; kushambuliwa na ugonjwa kwa tezi; benign prostatic hyperplasia (BPH), ambapo tezi dume huvimba na kuiminya urethra; na kansa.

Dalili zinzoonesha Kwamba Una Matatizo ya Tezi Dume

  • Mkojo kutoka kwa shida au maumivu wakati wa kukojoa
  • Maumivu kama ya moto wakati wa kukojoa
  •  Maumivu ya nyonga
  •  Kukojoa mara kwa mara
  •  Maumivu ya tumbo
  •  Kushindwa kuzuia mkojo
  •  Ugumba
  •  Kusijikia mkojo hauishi
  •  Kushindwa ghafla kukojoa
  •  Maambukizi ya mara kwa mara  kwenye njia ya mkojo(UTI)
  •  Damu ndani ya mkojo na/au ukosefu wa chembechembe nyekundu za damu
  •  Kupata mkojo usiku mara nyingi zaidi.
    Green World Prostacare Inasaidiaje?
    Bidhaa hii inazuia na kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume kama, kukojoa kila mara, mkojo kutoka kwa shida au maumivu wakati wa kukojoa. Prostasure inaboresha mzunguko wa damu na kuzuia ukuaji wa vimelea wadogo wanaoweza kusababisha magonjwa kwenye tezi dume.

Additional information

Weight 0.2 g

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Prostacare”

Your email address will not be published.