Sale!

Vig power

Sh100,000.00

Vig power huongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuboresha figo, kuongeza idadi ya mbegu (sperm count) na kuongeza uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility) wakati wa tendo la ndoa

Description

Vigpower Capsule (For Men)

Viungo: Semen Cuscutae, Fructus Lycii, Rhizoma Dioscoreae, Radix Rehmanniae Preparata. Cortex Moutan
Kazi Na Faida Zake kwa wanaume na tendo la ndoa

 • Hutoa nguvu inayotakiwa na kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuboresha figo
 • Huongeza idadi ya mbegu (sperm count) na kuongeza uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility) wakati wa tendo la ndoa
 • Kumwongezea mwanamme hamu ya kufanya mapenzi, kuongeza uwingi wa oksijeni ndani ya damu itakayosaidia uume kusimama imara ili kumudu kufanya tendo la ndoa

Inasaidia matatizo ya kufanya mapenzi kama kuwahi kufika kileleni, jogoo kushindwa kuwika na mbdegu kutoka kila wakati bila ridhaa.

Yafaa Zaidi kutumika kwa:

 • Wanaume wanaotaka kuboresha uwezo wao wa tendo la ndoa
 • Wanaume wenye matatizo kwenye viungo vyao vya uzazi kama kuwahi kufika kileleni, mnegu chache, jongoo kushindwa kupanda mtungi na shahawa kutoka zenyewe kila wakati

  Maelezo Muhimu ya viambata vilivyosheheni kwenye vig power.

  Semen Cuscutae:
  Kazi kubwa ya Semen Cuscutae ni kuzipa figo viungo muhimu na kusaidia kuboresha tendo la ndoa na uwezo wa kuzalisha.
  Fructus Lycii:
  Kazi kubwa ya Fructus Lycii ni kuupa mwili nguvu ili mtu awe na nguvu za kutosha wakati kufanya tendo la ndoa. Fructus Lycii huongeza muda wa kufika kileleni na kuwafanya washiriki wote wawili kuridhika.
  Rhizoma Dioscoreae:
  Viungo muhimu ndani ya Rhizoma Dioscoreae ni pamoja na tindikali za amino 18 na madini adimu zaidi ya 10 yenye kumwongezea mtu uhai na mwenye kujisikia vizuri
  Radix Rehmanniae Preparata:
  Radix Rehmanniae Preparata inaongeza uwezo wa kuhimili uchovu na kuboresha ufanyaji kazi wa figo. Inasaidia kuondoa tatizo la shahawa kudondoka zenyewe na tatizo la kuwahi kufika kileleni, ambayo ni matatizo yanayowasumbua wanaume wengi
  Cortex Moutan:
  Cotrex Moutan huboresha mzunguko wa damu ndani ya vijishipa vidogo, huondoa vizuizi vya mzunguko wa damu hivyo kuongeza mtiririko wa damu kuelekea kwenye viungo vya uume (cavenous body).

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vig power”

Your email address will not be published.